Natamani sana Jumapili hii ingenikuta Bongo

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,799
32,668
Mzuka wanaJF,

Sitaki kusoma Kwa Da Mange na humu jamvini. Yani natamani niwepo tena kiti cha mbele Jumapili hii Kwa Gwajima akishusha Nondo za Kolomije (the village of the year).

Haki ya nani nitadanganya Kesho asubuhi naumwa nisiingie kubeba boksi halaf faster nawahi Tarkish mchana ama Ethiopian, usiku Arlanda Stockholm hapo nimeshapata sick leave. Bongo Kwa vyoyote ntafika jumamos. Jumapili nawahi Kwa Gwajima. Baada ya kupokea nondo mubashara za BASHITE nakujiridhisha jioni Iyo nageuza zangu hili j4 inikute mzigon.

Haki ya nani naweza nikaamua hivyo. Sitaki kusoma hii ishu nataka niwe Mubashara Kwa Gwajima J2.
 
Hahahahah
Na ww tukutane Central
Sio kwa kiherehere hichooo
Umbeaaa kipaji mkuu
 
Utakuwa huna nauli tu. Ungekuwa na nauli ungeondoka ijumaa usiku unafika jumamosi asubuhi. Jumapili asubuhi kanisani jumapili jioni unaondoka jumatatu uko kwenye boksi.
 
Kusema ukweli bwana Bashite sio mtu mzuri mikurupuko yake imewaondoa watu wengi waungwana kwenye mstari, lakini Sasa baada ya kufika hapa kwa Pastor mambo yamemgeukia vibaya mno kinyume na matarajio yake!
 
Back
Top Bottom