Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Hii ni mihemko tu,serkali ilitangaza kukata asilimia kumi na tano,mapema.sasa hawa wameona wameanza wamepanua midomo,mlikuwa wapi? Naona kama movie vile,hivi serikali wataacha na kurudisha fedha za makato ya bodi kwa wafanyakazi? Mbona hamuongelei mishahara,madaraja na uhamisho? Naona hapo kwny makato Mumelimwa na ninyi kimeuma na mumeanza kuisoma.iache serikali ni Mali yake.Ongeleeni nyongeza,madaraja,na uhamisho,na madeni yetu ,makato tumeridhika kwani tusingesoma kabisa..rethink please...kinga ni bora kuliko Tiba!..Msilete siasa mlikuwa wapi? Mumekurupuka ,naomba tulichambue hiliJf