DC Hapi ahitimisha ziara ya kutembelea kata 20 Kinondoni

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
DC HAPI AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA KATA 20 KINONDONI

Mkuu wa Wilaya Ya Kinondoni Mheshimiwa Ally Hapi amemaliza ziara yake salama ya kutembelea jumla ya kata 20 za wilaya yake ya Kinondoni kwa awamu zote mbili.

Katika ziara yake hiyo ameweza kukagua miradi ya maendeleo yenye zaidi ya thamani ya bilioni 400 ambayo inatekelezwa na iko katika hatua mbalimbali.

Miradi hiyo ni pamoja na shule za msingi na sekondari, maji, barabara, ardhi, afya n.k. Aidha Mkuu Huyo Wa Wilaya ya Kinondoni amewashukuru sana watendaji wote Wa Manispaa Ya Kinondoni alioambatana nao kwa Kipindi chote cha ziara toka awamu ya kwanza mpaka kuhitimisha awamu ya pili ya ziara hiyo.

Pia Mkuu huyo wa Wilaya hakuishia hapo amewashukuru wananchi sana wote wa Kinondoni kwa muitikio na ushirikiano Mkubwa waliouonyesha kipindi Chote Cha ziara Yake.

[HASHTAG]#KinondoniYetuFahariYetu[/HASHTAG]
1488522282391.jpg
 
Back
Top Bottom