Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Habarini za leo wanaJF.
Bila kuleta itikadi ya uvyama hapa, jamani magar ya mwendokasi jijini Dsm, n msaada mkubwa sana. Yako bussy full time na watu wanawahi na kutoka makazini mapema kabisa kuliko vile vi-shuttle vyetu vya kukaa njiani masaa 3 mpk 4.
Kwa wastani, ukishapanda basi la mwendokasi, ndani ya dakika 10-25 unakuwa tayari umefika kazini au nyumbani kwako. Nazungumzia ambao hawaishi mbali sana na mji.
Mabasi mazuri, yanabeba watu wengi, yako fasta, yako rafiki kwa kweli. Yaani jj la Dsm, watoe daladala zote tu. Haina namna.
Mji umekuwa accessible, japo pesa hamna.
Hongereni DART, hongera magari ya mwendokasi.