Tahadhari: Paracetamol p/500 ni hatari

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,768
4,038
Habari wana JF.

Naomba kama kuna mwenye taarifa zaidi juu ya hili atujuze.

Kuna meseji nimepokea toka kwa rafiki yangu ya kutahadharisha matumizi ya dawa aina ya paracetamol.

Meseji yenyewe ni hii hapa

“TAHADHARI!

Tahadhari husinywe dawa aina ya paracetamol iliyoingia imeandikwa P/500. Ni dawampya nyeupe sana na ni dawa inayong’aa sana. Madaktari wanasema kwamba dawa hii ina virusi viitwavyo “Machupo” ambavyo vinaaminika ni virusi hatari kuliko vyoteduniani vinavyoua kwa kasi kubwa.

Tafadhali tuma ujumbe huu kwa watu wote pamoja na familia yako kuokoa maisha……

Nimefanya sehemu yangu.

Mwisho wa Meseji.

Naomba kama kuna yeyote mweny taharifa zaidi au ametumiwa huu ujumbe atueleze.
 
Ni sawa, ila ni taarifa tu, Je kama ni kweli lipo tatizo na TFDA hawajapata hizo habari, tuendelee tu kutumia.

Mi nimeuliza kama kuna mtu mwenye taarifa zaidi. Kama huna, basi tusubiri wengine. Ila nashukuru kwa mchango wako
 
Hakuna ukweli wowote na TFDA wameshatoa taarifa, pia haipatikani Tanzania hiyo dawa. Mwambie aliekutumia akutumie na taarifa ya TFDA...
 
Back
Top Bottom