Suala la Bangi Mtu mwenye Uelewa wa Bible anitafsirie (Mwanzo 1:29)

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Mstari huu vijana wengi wa chama cha wamekua wakitumia kama kuitetea Bangi.

Mwanzo1:29 Kisha Mungu akasema, “Tazama, nawapeni kila mmea duniani uzaao mbegu, na kila mti uzaao matunda yenye mbegu; mbegu zao au matunda yao yatakuwa chakula chenu. 30Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.

IMG-20170211-WA0005.jpg
 
Mnataka kutukamata kijanja, hapa mimi sichangii kabisa!!!
Wewe changia tu mbona kuna baadhi ya makabila bangi ni kitu cha kawaida sana. Huku kwetu wakinga wanapika kama mboga na mbegu zake hutumika kama kiungo na bangi yenyewe inavutwa sana hasa na watu wazima na wazee. Lakini wakinga wanajua sana biashara na ninadhani baada ya wachaga, wanaofuatia ni wakinga kwa kusakanya hela.

Watu wa Mara nao hawako nyuma kwenye hili la kuitumia bangi kwa matumizi mbalimbali. Lakini ni wao waliomtoa mtu kama Julius Kambarage Nyerere. Tatizo la bangi liko kwa wenye tatizo na bangi!!
 
Awamu chungu
 
HIV kwanza naomba niulize...kwanini watanzania tuliharamisha bangi....hili sijawah kulielewa au tuliiga kutoka marekani maana nazijua sababu zilizofanya marekani ikaharamisha lakini Sijui kwa nini nchi nyingine ziliharamisha bang

Anaejua atuambie

PS; wamarekani sababu zao washaprove kua so kweli na ndio maana kuna state zishahalalisha

Huko uholanzi kuvuta unaruhusiwa na hakuna tatizo lolote wala Hanna aliekufa kwa kuvuta bang
Ila watu wanaokufa tokana na magonjwa yasababishwayo au yachochewayo na sigara na tumbaku kwa ujumla ni zaidi ya 10000
 
Tuanze kampeni hichi kilimo kihalalishwe..

Sijawahi sikia eti gari imepata ajali au mtu ana kansa kwa ajili ya bangi..

Madawa ya kulevya hatari ni pombe na sigara.. kama hayo ni halali kuna uharamu gani wa bangi?

Achana na yote hayo.. faida zake za kiuchumi na kiafya zinapita hasara zake na ina faida mara nyingi kuliko kilimo cha tumbaku.
 
True
Marekani wamestimate kama bang ingeruhusiwa america nzima ingeingiza billions of $

Sasa sisi hatutaki hizi paper kweli? Na wakati bajet tunagongea

Haki ya mungu kama akitokea MTU akaanzisha hii movement nitakuwa 100% with him/her all the way
 
robione unataka kusema kwamba sigara ndiyo iharamishwe badala ya Bangi?
Umetia maneno kwenye keyboard yang mkuu

Mi sisemi iharamishwe ingawa(it would make sense). Nachosema Mimi hakuna sabab ya kuharamisha bang na kuendelea kukumbatia sigara wakati watu wanakufa kwa kifua kikuu na Kansa kisha serikali inapoteza nguvu kaz na pia inaingia gharama za kutoa dawa za kifua kikuu kwa sabab sidhani serikali inazipata bure
 
Mimi sioni kama bangi ni mbaya ila kuna watu inawadhuru. Watu hao ndio hawapaswi kuitumia.
Ni kama dawa . kuna watu wako na unzio. Allergy na dawa fulani wakitumua zinaweza hata kuwasababishia kifo. Wengine dawa hizo hizo zinawaponyesha maradhi yao lengwa.
Sasa huwezi kusema dawa hizo ni mbaya kwasababu tu zinawadhuru kundi lile la kwanza. Zitabaki kuwa nzuri tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom