Kwanini wengi wanaofariki ghafla kwenye guest house wengi ni wanaume?

SEGUZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
280
196
Wanajamvi nataraji mbukheri wa afya.

Leo hapa ninacho taka munijuze ni kwa nini iwe, wengi wanaokufa kwenye MADANGURO na nyumba za kulala wageni wakifanya mapenzi ni WANAUME?
Kwani kuna kitu gani, kinacho wafanya wanawake wasifikwe na mauti, badalayake iwe kwa wanaume wakati mapenzi wanafanya wote?
1fb152de3403ab68a55a613c68a682be.jpg
9dd8903d779416480a87444534ff014c.jpg
 
Kwa sababu ya wivu wa wanawake... Wanaume tunalogwa sana kimapenzi na wanawake... fikira ukiwa na wanawake watano alafu wote wakufunge usitoke nje... hapo utakuwa mtu kweli, kifo muda wowote...
 
Mimi hapa nitakuwa mujarib wa mambo haya yafuatayo:
1) wanawake wana roho za PAKA, pombe inayoweza kumuangusha mwanamke, aikinywa mwanaume inaweza ikamuua, ugonjwa unaweza kumuua mwanaume kwa mwaka mmoja, mwanamke unaweza ukamchukua kwa miaka 3.
2) wanaume ni waroho wa ngono, na kubwa zaidi ni,hili la uroho wa kutafuta mabao ya ziada, wakati wanawake tabia hiyo kwao sio sana
 
Unapotumia makonyagi kwenda kusagisha ngozi kwa ngozi unategemea nini? Pressure lazima ipande
 
Wanajamvi nataraji mbukheri wa afya.

Leo hapa ninacho taka munijuze ni kwa nini iwe, wengi wanaokufa kwenye MADANGURO na nyumba za kulala wageni wakifanya mapenzi ni WANAUME?
Kwani kuna kitu gani, kinacho wafanya wanawake wasifikwe na mauti, badalayake iwe kwa wanaume wakati mapenzi wanafanya wote?
1fb152de3403ab68a55a613c68a682be.jpg
9dd8903d779416480a87444534ff014c.jpg

Wanaume acheni kula viagra bila ushauri wa daktari.
 
Wanajamvi nataraji mbukheri wa afya.

Leo hapa ninacho taka munijuze ni kwa nini iwe, wengi wanaokufa kwenye MADANGURO na nyumba za kulala wageni wakifanya mapenzi ni WANAUME?
Kwani kuna kitu gani, kinacho wafanya wanawake wasifikwe na mauti, badalayake iwe kwa wanaume wakati mapenzi wanafanya wote?
1fb152de3403ab68a55a613c68a682be.jpg
9dd8903d779416480a87444534ff014c.jpg
Hao wa guest me sijui, what I know is wanaume wengi walioko kwenye ndoa wanakufa mapema na kuwaacha hai wake zao. "Life expectancy" umri wa mwanaume wa kuishi ni mdogo sana ukilinganisha na mke wake, hususani kusini mwa jangwa la sahara. Kwahiyo wanawake wanapewa nafasi kubwa ya kuishi kwa muda mrefu kuliko wanaume zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom