Kwanini hakuna vifurushi vya SMS tupu?!

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,576
Habari wanajf
Mwidiwe vene wachu?
Kwa niaba ya viziwi na mabubu wooote wanaojua kusoma na kuandika nawasilisha ombi langu kwa mitandao ya simu nchini
Tunaomba mtuwekee kifurushi cha SMS tupu coz huduma ya muda Wa maongezi huwa hatuutumii
Au km kuna anajua vifurushi vya SMS tupu atuambie
Nawasilisha
 
Ukiwa na laini ya vodacom, bonyeza *149*01# halafu chagua sms siku 30.
Unatuma sms bila kikomo kwenda mitandao yote, mwezi mzima kwa shilingi elfu moja.
 
Habari wanajf
Mwidiwe vene wachu?
Kwa niaba ya viziwi na mabubu wooote wanaojua kusoma na kuandika nawasilisha ombi langu kwa mitandao ya simu nchini
Tunaomba mtuwekee kifurushi cha SMS tupu coz huduma ya muda Wa maongezi huwa hatuutumii
Au km kuna anajua vifurushi vya SMS tupu atuambie
Nawasilisha
Kwa upande wa tigo vipo, ni sh. 1500 kwa mwezi. Ukiingia *148*00# unatapa hio option.
 
Habari wanajf
Mwidiwe vene wachu?
Kwa niaba ya viziwi na mabubu wooote wanaojua kusoma na kuandika nawasilisha ombi langu kwa mitandao ya simu nchini
Tunaomba mtuwekee kifurushi cha SMS tupu coz huduma ya muda Wa maongezi huwa hatuutumii
Au km kuna anajua vifurushi vya SMS tupu atuambie
Nawasilisha
JIUNGE NA TTCL UTAMALIZA HIYO YA KUHITAJI VIFURUSHI VYA SMS PEKEE.
 
Back
Top Bottom