Ajali: Lori la mafuta linaungua moto hapa Dumila

ng'ombo

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
418
619
Mnaokuja Dumila au kutoka kuna ajali mbaya ya lori la mafuta linaungua hapa kwenye mashamba ya mitiki kama unakaribia Dumila kutoka Dakawa muda huu.Kuweni makini njia imefunga kwa sasa.
FB_IMG_1488632755876.jpg
 
Back
Top Bottom