Habari wanaJF,
Hii ni kero kwa wale wadau wanaopendaga kuquote thread zenye maneno mengi ( Uzi mrefu), kwakweli inatupa kero kubwa sana wachangiaji , hadi kupelekea mtu kuuchoka ule uzi.
Karibuni tujadili.
Nainjoi kuquote hasa jinyuzi likiwa refu bila tijaKwako so kero nini kiongozi?