Lazima tuisifu serikali yetu kwa mambo mazuri. Binafsi wiki hii namsifu Rais kwa mambo mawili:-
1. Kuzuia usafirishaji wa mchanga wenye madini (nilitamani iwe hivyo)
2. Kupunguza riba ya mikopo BoT kutoka 16% hadi 12%. Nadhani Benk ndogo nazo zitashusha riba (nilitamani iwe hivyo).
3. SASA AANGALIE MASLAHI YA WATUMISHI WA UMMA