Ningependa kujuzwa kuhusu hiki kikao cha kamati kuu CCM, watawala waliopita yaani waliowahi kuwa wenyeviti wa chama wanahudhulia au wao huwa hawahusiki. Maana kama kuna mabadiliko ya katiba ya chama, nahisi kama wanahusika vile japo sina uhakika ndio maana nikaomba kujuzwa.