Bus la Allys lapata ajali Misungwi

Bus la Allys lapata ajali Misungwi

Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
1,865
Reaction score
833
Bus la Allys limepata ajali mbaya baada ya kugongana na Lori la Azam maeneo ya Misungwi. Lilikuwa likitokea Mwanza Tabora. Hakuna aliyefariki katika ajali hiyo.
502163386f33b01294ca1f396b22ed42.jpg
 
Kumbe bado yapo? Nakumbuka kipindi barabara kipande cha manyoni bado vumbi mwaka 2008 jamaa alifika morogoro saa 11 toka mwanza..
 
Kaka Koromije ni eneo lililopo misungwi na hiyo ajali imetoa Misungwi ndio nikauliza ni eneo gani la Misungwi, Koromije?
nikadhani unaleta habari za bashite wa koromije[emoji12]
 
Back
Top Bottom