Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Heshima kwenu wakuu,
Naunga mkono hoja ya Mhe. Kigwangalla ya Kuwakamata Mashoga hasa wale anaojitangaza. Ila nashauri wasiishiwe kukamatwa tu, wawahoji hadi wawataje wateja wao kama ambavyo Polisi walivyowakamata Mateja na kuwalazimisha wataje wanaowauzia Dawa za kulevya.
Tofauti na hapo tutakua hatutendi haki.
Ni sawa na kumkamata Mpokea Rushwa bila kukamatwa mtoa Rushwa.
Nategemea Ushauri wangu utafanyiwa kazi.