Viva forever
Member
- Feb 28, 2017
- 18
- 14
Ni Kama movie au ndoto za alinacha, amini usiamini Tanzania gov imekubali kuwachukua wakimbizi toka syria na yemen!
Sisemi wafukuzwe ila nina shaka juu ya uwepo wao hapa hasa ukizingatia nchi wanakotoka ni jalala sasa la magaidi. Je, hawa si IS? tutawaamini vipi kwamba wageni walioingia nyumbani mwetu ni salama?