Kitendawili........tega!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,212
Tulipovuka, tukasema usiku na mchana, tukakashifu, tukamchafua, akatupuuza, akasafiri, anatusikilizia huko alipo na sasa wote tumenyamazishwa huku upepo ukielekea kupoa na atarudi kuendelea na ujengaji wa jiji la Wanafiki.

Tegueni kitendawili changu tafadhali.
 
Na ikitokea akarudi na kuendelea na huo inaouita ujenzi wa jiji/ mji nitajua watanzania wote isipokua mimi nimabw**e.
 
Yani kwa jinsi ninavomdis huyu jamaa nashindwa hata cha kujibu,acha nitulize jazba afu nitarudi
 
Swali jepesi lenye jibu gumu, ni sawa kushuka mlima. Mi nafahamu jf ipo kila kona, kuwa tofauti na hali halisi ni dhuluma kubwa sana.kukubali ukweli humu weka mtu huru. Namaliza kwa kusema " isije ikawa kama yule aliyetimkia visiwa vya...tukaletewa habari za msukule ambazo hazikuonyeshwa hata kwenye mabox yetu yenye vioo"
 
Tulipovuka, tukasema usiku na mchana, tukakashifu, tukamchafua, akatupuuza, akasafiri, anatusikilizia huko alipo na sasa wote tumenyamazishwa huku upepo ukielekea kupoa na atarudi kuendelea na ujengaji wa jiji la Wanafiki.

Tegueni kitendawili changu tafadhali.
Daudi Bashite
 
Back
Top Bottom