Why matusi Wakati issue ni hoja. Sharing.

unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
3,503
2,863
Hoja vs Matusi.
Watanzania wengi either tumefikisika kimantiki or hatukuwa na chochote kwenye sehemu ya ubongo inayotuwezesha kupokea. Kuhifadhi kuchuja kuptia historia,matukio ,upepo na uwezo binafsi wa kufanyia maamuzi jambo lililo ndani ya uwezo wetu -kulisemea kwa hoja na pale ambapo hatujaelewa either kwa ujinga wetu au kukosa facts basi kukaa kimya. Ujinga wetu mkubwa ni kudhani kila kitu tunaweza kukisemea kwa kisingizio cha uhuru. Na demokrasia. Uhuru hata mbwa alipewa. Bata. Hata wadudu wale wadogo wanaokula mavi yetu wanadamu wanaita uhuru. Uhuru wa mwanadamu ni tofauti na wa mbwa kwa kuwa ana utashi. Ana sehemu ya kureason na kuamua kabla ya kuact. Siwezi kusema taifa lote bali wengi wa watu hawahoji kwa mantiki vitu wanavyopokea. They are like Robots. Sasa ukitoa hoja. Haitajadiliwa kama hoja bali nani na wa chama gani katoa hoja. Hakuna tena mtanzania. Wenzetu ni kama mtu na mkewe. Wanapeana raha. Wanapigana lakini we jirani utakachoona labda nundu la uso ila hutaambiwa chochote. Kila chama kina siri na sera zake. Ukiona wewe kila kinachotokea upande wa pili lazima ukiseme ujue uliye naye humpendi unampenda yule unayemkalia kooni. Hoja ni kukazana kueleza na kumpendezesha mkeo sio kutangaza kasoro za mke wa jirani. Mwisho wa siku lazima utafall. Bangi na heroine ni mbaya .hata 5000 ya bila kuifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom