GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Wahenga husema " ukiona umerusha jiwe gizani halafu ukasikia Mtu anagumia maumivu jua limeshampata hilo ".
Wahenga hao hao tena wakaenda mbele za kusema " siku zote ukiona Kuku anatapatapa basi jua ameshajua kuwa siku zake za Kuchinjwa zimeshaanza kuonyesha ushirikiano ".
Wahenga wakaenda mbele zaidi tena na kusema " kukaa karibia na Mahakama siyo kujua Sheria ".
Wahenga wakahitimisha kwa kusema kuwa " dalili ya mvua ni mawingu ".
Ili nami nisiwe na dalili za Ukichaa au Uwendawazimu naomba kujua wapi nitapata tiba za matatizo haya yanayoanza kuwasibu Watanzania wengi siku za hivi karibuni :

- Kulia lia hovyo.
- Kuzunguka hovyo nyumba zote za Ibada bila kubeba Biblia au Quran.
- Kuwajibu Kijeuri na kwa Hasira wote wanaonifuata fuata huku nikiwa najihisi hisi tu.