TWENDE PM

Aventus

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
2,011
2,165
nashindwa kuelewa tatizo ni umbumbu ama nini!!!?
Mtu anatoa uzi wake vizuri kwa nia ya faida ya wanajamvi wote.
Na anapoweka uzi huo uwe wa biashara,ujasiriamali ama chochote kwa ajili ya kujifunza.
Sasa nashindwa kuelewa mtu mmoja au wawil KUTAKA KWENDA PM.
Ni kisebusebu gani?ama wengine hatuna haki ya kujifunza kupitia huo uzi?
Unaleta biashara bei unataka twende pm huo ni UTAPELI.
MIMI SIO MWANDISHI MZURI LAKIN NAAMIN NIMEELEWEKA.over
 
WE POST MAMBO HAPA ANAYETAKA KWENDA PM AENDE KAMA WANAPANGA KUULIA MTU PM IYO PIA SAWA HII NCHI SI YENU BWANA TUNASHUKURU
 
Back
Top Bottom