March 11, 2017
Zanzibar, Tanzania
NDEGE KUBWA AIRBUS a350 ETHIOPIAN AIRLINES KUCHANGIA PATO LA UTALII
Ndege kubwa ya shirika la ndege la Ethiopian Airlines aina ya Airbus A350XWB imetua ktk uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume International airport, Zanzibar. Airbus A350 XWB ina uwezo wa kuchukua abiria 315 na ni ya kisasa zaidi isiyokuwa na kelele nyingi na ina nafasi kubwa zaidi kwa abiria kusafiri kwa raha mustarehe.
Awali ndege za shirika hilo aina ya Boeing 737-800 ndiyo zilikuwa zinatua ktk uwanja huo wa kimataifa za Zanzibar. Meneja wa shirika hilo la Ethiopian Airlines mjini Zanzibar amesema wameamua kuletandege kubwa zaidi na ya kisasa kutokana na kuongezeka kwa idadi ya abiria wanaotumia uwanja wa ndege wa Amani Karume, Zanzibar.
Pia meneja wa uwanja huo wa ndege wa kimataifa mjini Zanzibar amesema ongezeko la ndege kubwa kutua ktk uwanja wa Abeid Amani Karume international Airport inaashiria ongezeko la shughuli za kibiashara na utalii kisiwani humo.
Source: Zbc Zanzibar
Ethiopian Airlines acquires eco-friendly Airbus A350 planes
Source: beavertown2006