ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Naipongeza serikali kwa kupiga marufuku viroba. Afya ya vijana hapa mtaani imeanza kuimarika lakini bado kuna wauza gongo hasa usiku bado wanatamba. Ile amri ya kuwakamata madiwani na wenyeviti wa mitaa sasa ipewe nguvu ili wahakikishe hii gongo nayo inatoweka katika maeneo yao.