Halotel kuna shida ya mtandao au???

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,494
Wakuu naomba kuuliza. Tangu Jana usiku simu yangu iko slow Sana mpaka sahizi inaload kwa muda mrefu Sana. Tatizo ni Halotel au??
 
naona iko shida, maana internet inasoma H+ lakini ina load mda mrefu hata video na picha hazifunguki
Yani nimehangaika kubadilisha setting mpaka nimechoka kumbe tatizo liko kwao. Wameanza kulewa sifa za kijinga.
 
Kweli Halotel imepunguza kasi yake! Inakuwa inakuwa H+ lakini hakuna kitu! Waambieeni hao
 
Anaetaka line ya chuo ya halotel..
Unapata 10 gb dakika 1200 za halotel na 80 za mitandao yote mwezi mzima we youtobe unaogelea bila presha....nitafute private....popote ulipo utafanikiwa kuipata nusu saa tu...
 
Back
Top Bottom