mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,873
- 18,433
Ninahitaji sana kujua interview ya kuingia kidato cha tano kwenye ile SHULE nzuri sana iliyoko Arusha ya Cornerstone leadership academy kwa Dar itafanyika lini na itafanyikia sehemu gani?
Asante sana na Mungu akubariki!Mugabe shule ya msingi - sinza; tarehe 17-18 Mar 2017. Kuanzia saa 2 asubuhi.
Asante sana! UbarikiweCONTACT:
Post Address
CORNERSTONE LEADERSHIP ACADEMY
P.O. Box 6221 Arusha, Tanzania
Telephone
+ 255 762 235388
Reporting Officer
+255 767 022 860
Administrator
+ 255 758 844 708
Deputy
+ 255 763 458 390
Headmaster
School Location
Lenjani village - Ngaramtoni
Off Nairobi Highway
(12km from Arusha town)
Kutoka kwenye website yao.