Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 720
Salami wana JF.
Kuna kiwanja cha ndege chenye free wifi hapa kwetu Tanzania? Aitpot ya Dsm, Kilimanjaro na Songwe n kubwa sana.
Wenzetu hata Kenya tu hapo, ukitua unatekenya vidole mtandao safi bila matatizo.Shopping za wenzetu ukiingia tu, WiFi full.Halafu wala siyo gharama sana.
Sisi tuna hiyo huduma kweli?