Nahitaji kufahamishwa nini maana ya Rais

qaxemvule

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
231
120
Kwa sababu ufahamu wangu Rais ni wa nchi lakini utasikia Mara Rais wa chama fulani mara utasiki Rais wa shirika fulani, kwani nchi inakuwa na marais wangapi?

Ukiachana na huyu wa nchi hawa wengine wanaapisha na jaji gani?

Je, Wanapigiwa saruti na jeshi la aina gani?

Na msafara wao ukoje?
 
Kwa sababu ufahamu wangu rais ni wa nchi lakini utasikia Mara rais wa chama fulani mara utasiki rais wa shirika fulani kwani nchi inakua na marais wangapi?
Ukiachana na huyu wa nchi hawa wengine wanaapisha na jaji gani?
Je? Wanapigiwa saruti na jeshi la aina gani? Na msafara wao ukoje?
una level gani ya elimu?
 
Rais (president) ni cheo kilichoanzishwa na Wamarekani.

Kabla ya hapo nchi nyingi zilikuwa na wafalme.

Wamarekani walitaka kuwa na cheo cha kiongozi wa nchi cha ki Jamhuri, kisicho cha kurithi.

Neno la mzizi la "president" ni "preside".

Kwa hiyo utaona mzizi wa "president" ni kiongozi anayeongoza mambo, si lazima awe rais wa nchi. Hata kikao cha harusi kinaweza kuwa na mtu aka "preside" na kuwa rais wa kikao cha harusi.

preside
Examples
See more synonyms on Thesaurus.com
verb (used without object), presided, presiding.
1.
to occupy the place of authority or control, as in an assembly or meeting; act as president or chairperson.
2.
to exercise management or control (usually followed by over):
The lawyer presided over the estate.

1605-15; < Latin praesidēre to preside over, literally, sit in front of, equivalent to prae- pre- + -sidēre, combining form of sedēre to sit1
Related forms
presider, noun
unpresiding, adjective

the definition of preside
 
Sawa nikuelewa lakini katika haya maneno yana utofauti kati ya
Preside> ataongoza
President> rais
Sasa usahihi upo wapi?
 
President= Rais.

Rais si lazima aongoze nchi. Rais anaweza kuongoza hata chama cha ndondi.

Na nchi si lazima iongozwe na rais. Nchi inaweza kuongozwa na Mfalme au Waziri Mkuu.

Kwa nini unafikiri "rais" ni lazima awe anaongoza nchi?
 
Hapana nilitaka kufahamisha uhalisi wa neno la rais kwa sababu kipindi cha utawala wa muheshimiwa mkapa ili neno alilifuta kuitwa MTU mwngine zaidi ya yeye
 
Hakuna kitu kama hicho.

Alikuwepo Emmanuel Mlundwa, rais wa chama cha ndondi Tanzania.

Mkapa alikataa kuitwa "Mtukufu Rais"
 
Kwa sababu ufahamu wangu Rais ni wa nchi lakini utasikia Mara Rais wa chama fulani mara utasiki Rais wa shirika fulani, kwani nchi inakuwa na marais wangapi?

Ukiachana na huyu wa nchi hawa wengine wanaapisha na jaji gani?

Je, Wanapigiwa saruti na jeshi la aina gani?

Na msafara wao ukoje?

Aiseeeeeee!
:eek::eek:

Imebidi nicheke tu, kisha nimeshindwa cha kukuambia au kukuuliza maana naona bado safari ya Tanzania ni ndefu sana!
 
Back
Top Bottom