Ajali: Basi la Mombasa Raha lapata ajali na kuua

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Bus,kampuni ya Mombasa Raha imepata ajali wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi hii na kuua Dereva wa Bus hilo ndugu Mlingwa.
08fb1cb337b2efcddeea22c390f74f29.jpg

RIP dreva bwana Mlingwa
e23b51b7f6403ddb0f1c7533224c3eaf.jpg

Picha zaidi zitawafikia punde
Source: Moja ya Majeruhi.
 
Bus,kampuni ya Mombasa Raha imepata ajali wilayani Mbogwe asubuhi hii na kuua Dereva wa Bus hilo ndugu Mlingwa.
08fb1cb337b2efcddeea22c390f74f29.jpg

Picha zaidi zitawafikia punde
Source: Moja ya Majeruhi.

Duuuh,
Mbona basi haiko barabarani?

Barabara gani hiyo:oops::oops:

Pole kwa wote waliopatwa na mkasa huo.
 
Mkuu asante kwa taarifa japo angalia uhakiki wa taarifa yako isije kuwa kama ile ya tbccm na Trump!
 
Rip dereva, wahanga wote mkono wa Mola uwe juu yen. Marekebisho kidogo ni mombasa raha2 maana mombasa raha ya zamani yalikuwa yanamilikiwa na mbunge wa kishapu(nchambi) Baada ya mambo kubadilika akauza mabasi na mmoja wa aliyenunua hayo mabasi akaendeleza jina la mombasa raha ila akaongeza namba 2. Hiyo ikiwa ni ili aendelee kupata wateja
 
Mda wa kuokoa majeruhi siku izi haupo, ni selfie tu,.
Mbogwe ipo mkoa gani? Make ilo basi ni la Mwanza Kahama.
 
Maranyingi inakuwa sio rahisi dereva kufa pale ajali inapotokea, ukiona imetokea Ujue Maji yalizidi unga
 
Back
Top Bottom