Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Salam ndugu zangu.
Anayependa sana mpira anaweza kuvumilia asiangalie mpira kila mara
Anayependa sana pool table anauwezo mkubwa wa kuvumilia asicheze kwa muda fulani
Anayependa wanawake ana uwezo mkubwa wa kujizuia muda mwingine akawapotezea
Anayependa bia au pombe yoyote anaweza wa kustahimili asinywe pombe
Sasa hawa wrnzetu wavutaji wa sigara, kiu yenu hutoka wapi kiasi cha kumgongea mtu usiku akuuzie fegi???