Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Urafiki ni upendo wa hali ya juu wa watu walioamua kupendana katika shida na raha bila kuwepo na mwingiliano wa uhusiano wa damu. Upendo wa watu unaohusiana na uwepo wa mahusiano ya damu tunaita undugu. Urafiki huwa baina ya mtu mmoja na mwingine yawezekana ikawa ya jinsia moja au jinsia mbili tofauti.
Kilichonisukuma na kunifanya niamini ya kuwa Rafiki wa kweli mi wazazi wako waliokuzaa ni baada ya kushuhudia urafiki wa Clouds na mkuu wa mkoa ulivyopukutika mithili ya karatasi lililochomwa kwenye moto. Clouds leo wa kumshangilia Baba Askofu Gwajima??? Leo XXL kumdisi makonda??? Clouds kuhoji cheti cha makonda??
Nawaambia Baba yako na Mama yako hata uwakosee saba mara sabini kamwe hawatakudiss, Watakuonya, watakurekebisha simainishi Makonda hajakosea la hasha makonda ni Jambazi sugu lenye kutumia mitutu sita, Lakini najadili dhani ya urafiki, na jinsi marafiki wakubwa wanavyokuwa maadui wakubwa
Ujumbe wa leo Tuwapende sana Rafiki zetu lakini tuwe nao makini ipo siku siri zako zitakiwa hadharani, Amini mwenzako kwa Asilimia 50% hizo zinazobaki bora uzifungie chumbani.