Chief wa kibena
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 686
- 394
Ndugu zangu wana JF,
Leo ningependa watu to share vile vitu, vituko vilivyowahi kutukuta kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda iliyopelekea kupotea au kupata shida.
Binafsi niliwahi kupotea kwani nilikuwa natoka Moshi kwenda Arusha na nikaambiwa nishuke Arusha tech, katika kuuliza uliza konda na dereva nao walikuwa hawajui nikajikuta nimeshushwa Chuo cha Patandi, wale watu wa mnaokaa Arusha nadhani mnajua umbali wa kutoka Patandi hadi Arusha tech?