Msaada: Kumkatalia Bosi Kazi Ovu

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,322
Wakuu hivi kama bosi anakutuma au kukuchukua uende nae kwenda kufanya maovu unafanyaje?

Kwa sababu ukikataa, basi ndo hivo tena itakuhesabika ni utovu wa nidhamu na kibarua kinaweza kuota nyasi.

Miongozo ya kazi inasemaje kuhusu hili
 
Back
Top Bottom