justine lowasa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 727
- 794
Maneno ya mtumishi wa Mungu Gwajima yanafariji na kukausha majeraha ya mamilioni ya watanzania walio umizwa jana!
Hivi nani kampa Gwajima PhD? Ama kweli huyu anathubutu kumnyooshea mwenzie kidole yeye form six alimaliza lini? Shame on wote wanojihusishsa na huyu binadamu.
Siasa, madhabahu ...umewahi kuwaza juu ya mshabihiano wa hivi viwili!? Vyote vinamuumiza pale ukweli unaposemwa.Hana lolote, madhabahu ameyageuza ukumbi wa siasa
Siasa ni maishaHana lolote, madhabahu ameyageuza ukumbi wa siasa
Kwa taarifa nilizopewa na shemeji yake aliyestaafu TRA hivi karibuni, hapa Dar es Salaam, Gwajima alipata sifuri mtihani wa Form IV.Hivi nani kampa Gwajima PhD? Ama kweli huyu anathubutu kumnyooshea mwenzie kidole yeye form six alimaliza lini? Shame on wote wanojihusishsa na huyu binadamu.