Mgibeon
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 11,254
- 21,275
Katika kile kinachosemekana ni kuwatishia SHILAWADU warushe "Kipindi chake", ripoti ya uchunguzi wa Sakata Hilo ikasema kwamba Mh. Daudi Albert Bashite aliwatishia kwamba wasiporusha "kipindi chake" atawaingizia kwenye orodha ya washukiwa wa madawa.
Tafsiri yake ni kwamba hata wale waliokwenye zile orodha zilizopita ni watu ambao walipishana na kiongozi ndiyo sababu walitajwa.
Ukirudi nyuma kwenye ile clip ya sauti ya Mama Sepetu na Steve Nyerere Mama Sepetu anasema "Najua Makonda alikua anamtongoza Wema" Stive hakukanusha kumaanisha ni kweli Bashite Alikua anamtongoza Wema,.
Sasa kwa Akili ya kawaida tu ukiunganisha doti unagundua kua Kumbe huenda Wema Sepetu alitajwa kwakua alimkataa Prince.
Sasa Mpaka hapo hamna namna mnaweza kumtoa Hatiani kwamba alitajwa kwakua Alimkataa Bashite kimapenzi.. kuhusu alichokutwa bangi aliyokutwa ni kwamba alibambikiziwa ili kuipa kesi ushahidi.
NB; Haya ni mawazo yangu tu, nilisoma Biashara, katika Kozi hiyo nilisoma tu Business law na Commercial law. Haya mengine siyajui.
Cc. Lawyers wote wa huku.