kunfayakun
Member
- Mar 16, 2017
- 39
- 27
Serikali huwa akitangaza ajira huwa wanasema tutatangaza ajira za watumishi wa serikali ikiwemo na waalimu hivi walimu ni akina nani jamani?
Na utumishNavyojua walimu wanasimamiwa na Wizara mbili nazo ni Wizara ya Elimu na Tamisemi. Ajira yao ipo tamisemi usimamizi wa kazi ni Wizara ya Elimu. Kifupi walimu ni waajiriwa wa Ikulu kumbuka (Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.)
VibaruaSerikali huwa akitangaza ajira huwa wanasema tutatangaza ajira za watumishi wa serikali ikiwemo na waalimu hivi walimu ni akina nani jamani?
He he, kwa hiyo jumla waliokufa wangapi?Wamekufa watu wanane na masai wawili.