mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,083
Chances never come twice au tragedy come in thrice. Hili tukio limekuja mnalaani na kulaumu na hata kuamua kuside na waliokuwa maadui wenu dhidi ya rafiki yenu. Rafiki wa kweli ni yule anayesimama na nyinyi wakati wa shida.
Sio siri mlikuwa mnakabiliwa na ushindani mkubwa sana kibiashara na mlishaanza kupotea, lakini rafiki yenu kaja na backup plan to bring u at the top of every media. Mnataka nini tena clouds! Mlimsaidia sana RC kufanikisha kazi zake sasa na yeye kawasaidia sana kuwaweka juu. Coincidence.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo na pia hata president kawapa sana publicity toka aingie madarakani, mimi hata nilikuwa sjui 360 lakini kupitia yeye nikawa mfuatiliaji, baba wa watu mpaka kateua mtu kutoka hapo katika kipindi cha 360. Please don't mess up with him na huo ndo urafiki.
Karibuni wadau kujazia nyama