Watanyooka tu...niliwahi kusema IPO siku mungu atajibu maombi ya watanzania wasanii haswa wa muziki wa kizazi kipya..Masikini kipaji cha Rubby kimefukiwa kabisa eti kisa alikuwa anadai haki yake.Jide kaumizwa sana.!!![emoji24] [emoji24],,If you live in a glass house, don't throw stones, and if you can't take blows, brother don't throw blows..."
Dedicated to Clouds Media Group!
by Peter Tosh!