Natoa pongezi kwa TBA kufanyakazi ya kishujaa ya kujenga makazi ya wanafunzi wa chuo kikuu.
Mkuu wa kaya hivi ukiwapa TBA 100b wajenge magorofa 200 kwa ajili ya makazi ya watu, hizo apartment zikauzwa kwa mkopo kwa walimu manesi askari na watumishi wa viwandani na wakazi wa kawaida hakiyamungu ujenzi holela utakuwa historia.
Najiji la dar litakuwa katika mpangilio sawia itakuwa kama umefika tunisia au morocco.
Ona pale ubungo flats yalijengwa enzi ya nyerere hadi leo yanavutia, hebu badirisha jiji letu, achana na mavuvuzela wa mitandaoni.