The seer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 407
- 690
Sasa hivi kumekuweko ongezeko la makanisa ya huduma za kinabii ambayo yanatumia visaidizi vya imani kama mafuta ya upako vitambaa vya upako maji ya upako.ambapo hivi vitu si vigeni katika biblia.
Mambo yanayonishangaza;
1. Kanisa katoliki linatumia maji ya baraka siku ya majivu sanamu ya bikra maria, siku ya matawi lakini hakuna shida, hakuna anayehoji ila wakitumia manabii na huduma za kilokole inaonekana ni shida hili linanishangaza sana.
2.Makanisana ya kinabii wakianzisha miladi au biashara watu wanalaumu ohh hawa ni wajasiliamali lakini kanisa katoliki likifanya biashara ya kuanzisha shule mabanki au hostel wao sio biashara wanatoa huduma inanishangaza.
3.Manabii wao inaonekani wanakula sadaka. Je sadaka mnazotoa kanisa Katoliki au KKKT mnampa Mungu live?
4.Manabii wakiwa na ulinzi wa mabaunsa watu wanahoji sana lakini wanashindwa kuhoji kwanini papa anaulinzi mkubwa sana mpaka gari ya bullet proof inanishangaza sana.