Afande Sele: La Bashite ni sawa na tumbili aliyemaliza kulikia miti sasa anarukia mwili wa amfugae

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
FB_IMG_1490010766734.jpg
FB_IMG_1490010543746.jpg

Anaandika #Afande_Sele

"Na kama Bashite kafanya uvamizi
Atakuwa mfano wa TUMBILI aliye maliza kurukia miti sasa ameamua kurukia Mwili wa anae mfuga.
Na Uncle kushupaza Shingo kataka hili huwenda yale maandiko yakatimia kabla ya muda."
 
hadi mvuta bange kaona si sawa ila mkata umeme anasema tuache udaku wakati yeye alisema anapenda kipindi cha shilawadu,au hajui shilawadu ni udaku
 
Video footage ya CCTV Camera kuitwa nao ni udaku inashangaza sana. Wakati duniani kote, hii hutumika kama ushahidi kunasa wahalifu kwenye matukio mbalimbali. Hata wale waliotiwa mbaroni kwa kumuua ndugu wa Rais Kim, ni kwa kutumia kimbukumbu za hiyo CCTV camera. Leo nazo zinaitwa ni udaku.
 
Unabishana na Phd holder? Muulize maana ya catalyst uone atakavyotiririka.
 
Video footage ya CCTV Camera kuitwa nao ni udaku inashangaza sana. Wakati duniani kote, hii hutumika kama ushahidi kunasa wahalifu kwenye matukio mbalimbali. Hata wale waliotiwa mbaroni kwa kumuua ndugu wa Rais Kim, ni kwa kutumia kimbukumbu za hiyo CCTV camera. Leo nazo zinaitwa ni udaku.
Ukipenda Chongo huonekana ni Kengeza tu! Wahenga walikua na maono ya mbali sana.
 
Video footage ya CCTV Camera kuitwa nao ni udaku inashangaza sana. Wakati duniani kote, hii hutumika kama ushahidi kunasa wahalifu kwenye matukio mbalimbali. Hata wale waliotiwa mbaroni kwa kumuua ndugu wa Rais Kim, ni kwa kutumia kimbukumbu za hiyo CCTV camera. Leo nazo zinaitwa ni udaku.
Ni kiburi tuuu
 
hadi mvuta bange kaona si sawa ila mkata umeme anasema tuache udaku wakati yeye alisema anapenda kipindi cha shilawadu,au hajui shilawadu ni udaku
Wavuta bangi huona mapema mkuu na waliwahi kupatanishwa nao ref bob na wakuu wa nchi yake. N:B akiwa kaburini ana kipato wengi wanaota kukipata
 
Back
Top Bottom