The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,897
- 19,080
Sijui kwa nini kuna dhana mbaya sana kuhusu watu wa mkoa wa mara.
Niseme wazi kabisa kua kwetu ni mkoa wa mara, mkoa tajiri wa rasilimali nadhani kuliko mkoa wowote Tanganyika.
Mkoa wa mara una makabila zaidi ya 25, ndio mkoa wenye makabila mengi zaidi nchini Tanganyika, kwa uchache kuna wakurya,wazanaki,waikizu,
waisenye,wanata,waikoma,wajaluo,wanandi,
wasizaki,wakwaya,wajita,wasukuma,
wangoreme,wamaragori,wataturu,nk.
Nashangaa kwa nini mtu ukisema kwenu ni mkoa wa Mara basi watu wanasema wewe ni mkurya?, wakurya wanaishi wilaya mbili tu, Tarime na Serengeti na sio kwamba wao peke yao ndio wanaishi kwenye hizo wilaya,kuna makabila mengine huko.
Kwa nini mnatujumuisha watu wote wa mkoa wa Mara na wakurya? Kama mna ugomvi na wakurya msitujumuishe wote wa mkoa wa Mara kama wakurya.