fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,694
- 7,692
Habari waungwana. Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha country and soul kinachorushwa na radio ya TBC FM kila siku za jumapili kuanzia saa 3 hadi saa 6 mchana. Lakini kwa wiki mbili za karibuni kila muda ukifika, nakuta wameweka taarabu. Naomba kwa anayefahamu kama kuna mabadiliko ya ratiba ya vipindi au kama kipindi husika kimefutwa. Kwa kweli napata shida kuimaliza jumapili yangu bila hiki kipindi wakuu. Naomba kujuzwa tafadhali.