Our country

Naumia sana kuona viongozi wazuri wanapotenguliwa pasipo haki, Nijuzi tu Mkurugenzi wa Tanesco ametenguli pasipo n.a. hoja zenye mashiko. Mungu atusaidia sioni mwisho mzuri wa Viongozi wetu wajuu
 
Jamani alishasema alienda kuchukua form mwenyewe
Miii ngoja nifanye kazi tu niingize ela nsije nkashinda njaa bure maana ndo ishatokea
 
Naomba kuuliza ivi tatizo la Mh Nape kutenguliwa nini ni?

Tunaelekea wapi kama taifa?
Ninabaki nashangaa... Sasa Bashe nae si waziri watamfukuza uanachama? maana huyu nae moto wa kuotea mbali! Namwaminia Mh. Nape (Mbunge) sasa wamempa mwanya wa kumwaga sumu.. Wakumuulize Mh. Lowasa enzi hizo.
 
Tunapaswa kupaza sauti pale tunapoona viongozi wetu wanaenda tofauti
 
Back
Top Bottom