Clouds Media yakanusha tamko la kudaiwa kodi na TRA

kamati ya ufundi

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
416
439
Kuna taarifa ya kizushi zinazosambazwa kwamba Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na wamepokea notisi kutoka Mamlaka ya Mapato TRA na inatakiwa kulipa malimbikizo hayo.

Taarifa hizo ni uzushi mtupu tunaomba zipuuzwe.
[HASHTAG]#TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka[/HASHTAG]

a631dfb87c48460bf580ed1aad4a27c8.jpg
 
Ningeshangaa sana kama habari ingekuwa kweli kwani Clouds sasa ni kituo pendwa na watanzania. Kwa hiyo ingekuwa ni juhudi nyingine za kuua biashara nchini. Hata kama wana mawazo hayo wajue kuwa Clouds ikifa ni wale wafanyakazi 200 ndio watakaotaabika, Ruge na Kusaga utajiri wao unatosha kumaliza siku zao duniani bila kulala na njaa wala kutembea kwa miguu. Kamwe hawawezi kuwakomoa.

Leo nimeshangaa waziri mkuu anatafuta wawekezaji wa samaki ughaibuni wakati kuna muwekezaji anaitwa Yusuph Manji wanataka kumvua uraia wa Tanzania licha ya kwamba kaajiri watanzania zaidi ya 5,000. Wanadhani wanamkomoa bilionea Manji ambaye hajawahi kulala njaa kumbe wanawakomoa maskini wenzao elfu tano. Ila tuliwaambia, hamumkomoi Lowassa mnawakomoa watanzania. Ilikuwa rahisi sana Lowassa na Membe kukaa kiti kimoja na kuelewana. Maelewano ya sasa ni too late
 
Kuna taarifa ya kizushi zinazosambazwa kwamba Clouds Media Group inadaiwa malimbikizo ya kodi na wamepokea notisi kutoka Mamlaka ya Mapato TRA na inatakiwa kulipa malimbikizo hayo.

Taarifa hizo ni uzushi mtupu tunaomba zipuuzwe.
[HASHTAG]#TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka[/HASHTAG]

a631dfb87c48460bf580ed1aad4a27c8.jpg
Chadema watafute kick sehemu ingine to hell with them
 
Clouds katika Kipindi Kigumu This time hadi J.Kusaga atajitokeza kwa Wasio mfahamu mmiliki wake.
 
KATIKA WATU AMBAO HUWA SIWAPENDI HUMU JUKWAANI...HUWA NI HUYU MWANA HABARI HURU......
FATILIENI NYUZI ZAKE JAMAAA AMEKAA KIMBEA MBEA KWELI.......
 
Back
Top Bottom