Basi piga kimya usifosi mfananeMipango tu
Sio mteremko, wengine simu tunatumia kwa vitu basic sana , calling ,sms , whatsapp, imo, jf sasa kwanini nikanunue simu ya bei ghali , wakati nakuwa satisfied na simu ya kawaida tu kwa. matumizi yangu.Kumbe shida ni mteremko
Sio mteremko, wengine simu tunatumia kwa vitu basic sana , calling ,sms , whatsapp, imo, jf sasa kwanini nikanunue simu ya bei ghali , wakati nakuwa satisfied na simu ya kawaida tu kwa. matumizi yangu.
They are easily available,cheap and dependable.That is the bottom line.Walipo watumiaji Wa smartphone 20, 18 wanatumia tecno wakati asilimia iliyobaki ni ya Huawei, itel, apple. Je, sababu ni kukimbia bei au upatikanaji wa tecno kirahisi ?
Mimi nazichukia simu ziko kama kitabu wataalamu wataalamu wanaita ipad/tablets bei yake ni zaidi ya 500000 ram yake ni 1GB wakati unanunua tecno ya 170000 RAM yake 2GB , halafu tablets haina playstoreSio mteremko, wengine simu tunatumia kwa vitu basic sana , calling ,sms , whatsapp, imo, jf sasa kwanini nikanunue simu ya bei ghali , wakati nakuwa satisfied na simu ya kawaida tu kwa. matumizi yangu.