Nijiunge chama gani cha siasa?

Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,286
1,328
Wakuu nawasalimu. Mara baada ya salamu napenda kutangaza nia yangu kuingia rasmi kwenye siasa yaani kujiunga na chama mojawapo cha siasa hapa nchini.

Kwa kuwa wahusika wa vyama karibu vyote mko hapa naombeni miongozo yenu juu ya nini kinahitajika ili kujiunga na chama ulichopo. Nije na vitu gani? Je, kuna gharama za kujiunga? Ni kiasi gani n.k

Ningependa kusikia zaidi kuhusu CCM na CHADEMA. Karibuni na asanteni.

~Jodeo~
 
Back
Top Bottom