NAOMBA THREAD hii imfikie Naibu waziri wa Afya.
Kuna watu wanatumia laptop na wanatembea sehemu mbalimbali huku wakiitumia kugundua magonjwa mbalimbali (diagnose).
Nimebahatika kuona report ya mgonjwa mmojawapo na niliyooyaona yanatisha kwani Ini lina shida,figo zimeshindwa kufanya kazi,mirija ya uzazi imeziba n.k.
Naibu Waziri unalijua hili na unachukua hatua gani?
Kwa nini maisha ya Watanzania yanawekwa rehani wakati vyombo vipo?