Bila shaka kujikumbusha mambo yalivokuwa kipindi hicho.Hata mimi nazitafuta sana, nataka kusikia zile nyimbo za maombolezo za kapteni Komba!Unataka za nn mkuu?
Duh!!!!Unazo za mazishi ya babaako?'au bado yupo
NijikumbushieUnataka za nn mkuu?
Kamwombe mama maria
Kwa muda mrefu nimezitafita YouTube na kila sehemu sijazipata mwenye nazo aje pm