MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 613
Wakuu kwa hili naona wanafaa kupongezwa. Hongereni kinamama wa TZ kwa kutovuta sigara hadharani. Kumwona mwanamke wa bongo akivuta sigara hadharani sio rahisi ukilinganisha na wanawake wa nchi nyingine za kiafrika ambapo kwao ni kawaida tu wanawake kuvuta sigara hadharani.