Ni nani aliyekaidi agizo la Rais na kuamuru vibanda vya machinga kuvunjwa?

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Rais alikwisha lisemea hili la wamachinga kufanya biashara zao sehemu yoyote ile ya jiji

Na Mh anapotoa order, obvious huwa ni sheria ni lazima itelezwe!

Ni nani analiyekaidi agizo hili toka kwa mukulu wa nchi hadi kupelekea disturbance kwa machinga na watumia barabara?
Agizo la mh rais limekyukwa, nani katekeleza uvunjifu wa agizo hili?

Rais tupe kauli yako haraka sana kama vile ulivyofanya kwa wamachinga wa Mwanza!
 
Nasikia DC wa Nyamagana mheshimiwa mkuu wa yote katika nchi yetu kamuandikia barua tena kwa mkono wake mwenyewe haikutaipiwa (kuchapwa) akimtaka kuwa aandike barua ya kujiuzulu asisubiri amtangaze kumtumbua! Kisa ni yule machinga wa Makoroboi aliyepigwa na mgambo wa jiji hadi kupoteza fahamu!!!!! (tetesi)
 
Nadhan hii ndo ile inayoitwa "NOT TO THAT EXTEND, WATCHIT" Kwa lugha yao ya kisukuma ..!!
 
Nasikia DC wa Nyamagana mheshimiwa mkuu wa yote katika nchi yetu kamuandikia barua tena kwa mkono wake mwenyewe haikutaipiwa (kuchapwa) akimtaka kuwa aandike barua ya kujiuzulu asisubiri amtangaze kumtumbua! Kisa ni yule machinga wa Makoroboi aliyepigwa na mgambo wa jiji hadi kupoteza fahamu!!!!! (tetesi)
Basi achukue na hatua huku Dar kama iyo
 
Back
Top Bottom