Dawasco, Tegeta masaiti hatuna maji wiki ya pili sasa why?!!

Halafu hakuna matangazo yoyote kuwa maji yatatoka lini watu tuna pata shida sana. Dawasco mko wapi?
 
Umeenda ofisini kwao? Masaiti ipi hiyo, mimi mbona maji kibao, yalikatika juzi kama kutwa nzima, ila kwa sasa maji mengi tu.
 
Back
Top Bottom