Sina furaha ya kazi na natakiwa kurudi kazini baada ya masomo yangu, je nifanyeje wana JF?

Newera

Senior Member
Mar 8, 2017
132
202
Habari wadau,

Mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaliza ICT, panapo majaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah.

Je, nifanyeje wadau?
 
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau

Acha kazi ujiajiri, usifanye kazi usiyoipenda
 
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau
Kaa huko huko shule mpaka siku utakapoelimika maana unaonekana bado ni pimbi, ACHA KAZI KAMA HUIPENDI
 
Hiyo kazi hukuipenda, kazi ukiipenda huwezi kutaka kuiacha kwa sababu nyepesi kama hizo. Fanya kinachokupa furaha.
 
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau

Pole lkn ukimaliza rudi shule kufundisha wkt unajipanga kwaajili ya kujiajiri usiache kiholela utajutia mkuu
 
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau

kabla ya kuwa mwalimu ulikuwa unapenda kuwa nani?

kwa maelezo yako unaonekana ulibaka kazi ya ualimu

hamna kitu kibaya kama kubaka kazi.
 
Vumilia kidogo kisha mambo yakikaa sawa uje madibira kulima mpunga,matikiti,nyanya,bamia,vitunguu,mahindi n.k

Acha kazi uone ugumu wa kupata kazi
 
habari wadau, mimi ni mwajiriwa katika kada ya elimu, kwa sasa nipo masomoni mwaka wa tatu nasoma BACHELOR OF EDUCATION IN SCIENCE WITH ICT, Nikiwa nimespecialize katika MATHEMATICS na kumaina ICT, panapomajaaliwa mwezi wa saba namaliza na kurudi kazini ila KIUKWELI SINA FURAHA NA KAZI YANGU kwa sababu mbalimbali ikiwemo mazingira na maslah, je nifanyeje wadau
Ebu rekebisha kwanza kwenye red hapo, naona kweli kazi ya ualimu imekuchanganya
 
Kufanya kazi usiyoipenda inatesa sana nakuelewa sana

Ila usiache kazi kabisa vumilia huku ukicheck mipango mingine hata ukijiajiri mpka uone flow nzuri ya kipato ndo uache

Ngumu kupata kazi saiv nadhan hali ya ajira nchini unaijua ilivo
 
Umefanya kazi ya ualimu, umeenda tena kuongeza elimu umesoma ualimu, halafu kazi huitaki sasa wataka ushauri gani?
 
Back
Top Bottom